Kwenye #ACTKiganjani kuna kadi za Maalim Seif, zilizopewa jina hilo kumuenzi Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo aliyefariki dunia mwaka jana. Kadi hizo ni namba 1 mpaka namba 1000, zitapatikana kwa mtu yoyote kwa Shilingi Laki 2 tu.#ACTKiganjani #ACTKiganjani #ACTKiganjani pic.twitter.com/oCaktapfb7
— Ado Shaibu (@AdoShaibu) January 18, 2022
Kuanzia kadi namba 5001 na kuendelea ni kadi za kawaida za uanachama za @ACTwazalendo, zitapatikana kwa mtu yeyote kwa shilingi Elfu Mbili tu
— Ado Shaibu (@AdoShaibu) January 18, 2022
MUHIMU: Utofauti wa Bei una lengo la kutunisha mfuko wa chama (Fundraising), wanachama wote watakuwa na HADHI SAWA.#ACTKiganjani pic.twitter.com/GQpDq9eSue
@ACTwazalendo inatambua upekee wa zao la Karafuu katika uchumi wa Zanzibar, ndio sababu kadi namba 2001 mpaka 5000 wameziita Kadi za Karafuu. Kadi hizi zinapatikana kwa shilingi Elfu Kumi tu Kwa mtu yeyote.#ACTKiganjani #ACTKiganjani #ACTKiganjani pic.twitter.com/uUia2lOGXd
— Dorothy Semu (@SemuDorothy) January 18, 2022
Kuanzia kadi namba 5001 na kuendelea ni kadi za kawaida za uanachama za @ACTwazalendo, zitapatikana kwa mtu yeyote kwa shilingi Elfu Mbili tu
— Dorothy Semu (@SemuDorothy) January 18, 2022
MUHIMU: Utofauti wa Bei una lengo la kutunisha mfuko wa chama (Fundraising), wanachama wote watakuwa na HADHI SAWA.#ACTKiganjani pic.twitter.com/Un0viC48bw