Categories
Siasa

ACT-Wazalendo Washinda Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde, Mgombea Wao Mohammed Said Issa Azoa Asilimia 72%

Mohamed Said Issa wa ACT Wazalendo ameshinda Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo

Amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za Mbarouk Amour Habib (CCM), 55 za Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) na 98 za Salama Khamis Omar (CUF)