




RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana huku ripoti hiyo ikieleza kuwa wasichana wanaozaliwa au kulelewa na mama aliyekeketwa hukeketwa pia. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Redio ya C-FM ya Jijini hapa jana, Msimamizi […]




Tetesi za usajili kwa vilabu vya soka hapa Uingereza zinadai kuwa mwanasoka pekee wa Tanzania katika Ligi Kuu ya England, Mbwana Samatta, yupo mbioni kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo kutoka klabu yake ya sasa ya Aston Villa. Hata hivyo kumekuwa na mkanganyiko kuhusu hatma ya mwanasoka huyo ambaye uwezo wake wa […]


Tamko hilo la Zitto ni kama kupigia mstari kauli hii ya Maalim Seif Sharif Hamad Macho na masikio sasa yaelekezwa kwa Bernard Membe, kada wa zamani wa CCM aliyefukuzwa na chama hicho tawala kisha akajiunga na ACT-Wazalendo, kabla ya kupitishwa kuwa mgombea wa chama hicho katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. […]