Categories
Habari Kimataifa

Waziri Uingereza Ajiuzulu Kisa Serikali Imepunguza Bajeti Ya Misaada Kwa Nchi Maskini kwa Asilimia 0.2

Waziri katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, Lady Sugg, amejiuzulu wadhifa wake baada ya serikali ya chama tawala, Conservativea, kupunguza bajeti ya misaada kwa nchi masikini kutoka asilimia 0.7 hadi asilimia 0.5. Waziri huyo amechukua hatua hiyo kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha wa Uingereza, Rishi Sunak, alipokuwa akieleza mipango ya matumizi […]

Categories
Habari Siasa

News Alert: Zitto, Lissu Kuunguruma Kesho

Categories
Michezo/Burudani

Uwekezaji Simba: Mo Aongeza Shilingi Milioni 400 Zaidi Kwenye Shilingi Bilioni 19.6

SAA chache baada ya Tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) kubainisha moja ya vitu ilivyohitaji kwenye mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu ya Simba ni ufafanuzi juu ya kiasi halisi ambacho mwekezaji, Mohamed Dewji anatakiwa kuwekeza katika mabadiliko hayo ili kuondokana na mkanganyiko ulioko, imebainika kwamba mwekezaji huyo ameongeza mkwanja. Juzi taarifa ya FCC […]

Categories
Michezo/Burudani

Msimamo Wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara

Categories
Michezo/Burudani

Tanzania Yaanza Vibaya Safari Ya Kufuzu AFCON, Yabwagwa 1-0 Na Tunisia

 

Categories
Sayansi

Maradhi Ya Figo Yazidi Kuongezeka Nchini Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema tatizo la ugonjwa wa figo nchini linaongezeka Akizungumza na Gazeti la Habari Leo Mratibu wa magonjwa ya figo wa Wizara na Dkt. Bingwa wa Magonjwa ya Figo, Linda Ezekiel, amesema kuwa takwimu zinaonesha Tanzania ina watu 600,000 wenye ugonjwa wa figo. Aidha Dkt. Linda […]

Categories
Michezo/Burudani

Uskochi Yafuzu Euro 2020 Baada Ya Kuibwaga Serbia, Haijafuzu Michuano Mikubwa Kwa Miaka 22

Uskochi imefuzu kushiriki mashindano ya nchi za Ulaya (Euro 2020) baada ya kuibwaga Serbia. Hii ni mara ya kwanza katika miaka 22 kwa Uskochi kufuzu katika mashindano makubwa, mara ya mwisho ikiwa mwaka 1998. Ryan Christie aliipatia Uskochi bao katika kipindi cha pili kabla ya mshambuliaji wa Real Madrid, Luka Jovic kuisawazishia Serbia katika dakika […]

Categories
Michezo/Burudani

Senzo Mbaroni Kwa Kuhusika Na Kupanga Matokeo ya Mechi

Taarifa zinaeleza kuwa mshauri mkuu ndani ya Klabu ya Young Africans kwenye mchakato wa kuelekea mabadiliko Senzo Mazingiza Mbatha anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaa kwa tuhuma za kuihujumu klabu ya Simba SC. Leo mchana taarifa hizo zilitanabaisha kuwa Mazingiza ambaye alikuwa Mtemdaji Mkuu wa Klabu ya Simba, alifikishwa kwenye […]

Categories
Maisha

Tajiri Zimbabwe Kuzikwa Na Gunia Lililojaa Dola

Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure maarufu kama Ginimbi, wamesema atazikwa na gunia lililojaa Dola. Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Zimbabwe, mfanyabiashara huyo aliyeishi maisha ya kifahari aliacha maagizo hayo kwa wanachama wa “all-white funeral”. Ginimbi alifariki kutokana na ajali ya gari Jumapili, jijini Harare pamoja na mlimbwende Mitchelle Amuli aliyejulikana […]

Categories
Habari Siasa

Zanzibar: Dkt Mwinyi Asema Yupo Tayari Kushirikiana na ACT-Wazalendo

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha Serikali kama ambavyo Katiba ya Zanzibar inavyoelekeza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …(endelea). Ametoa kauli hiyo leo Jumanne tarehe 11 Novemba 2020 wakati akizindua Baraza la 10 la Wawakilishi Zanzibar. Dk. Mwinyi ambaye ni Rais wa nane wa Zanzibar, aliingia […]