Categories
Siasa

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCK awa wa kwanza kuenguliwa

Categories
Siasa

Mtihani Kwa Magufuli: Mamilioni Ya Watanzania Wasubiri Kuona Busara Zake Kuhusu Ugombea wa Lissu

Developing story: Tanzania ni kama imesimama, ikifuatilia kwa makini kinachoendelea huko Dodoma ambako mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu anarejesha fomu, huku kukiwa na tetesi kuwa Rais John Magufuli ametoa maagizo kuwa mgombea huyo, anayetarajiwa kutoa upinzani mkali kwake, akwamishwe. Gazeti hili linaendelea kufuatilia matukio ya huko Dodoma na litawaletea taarifa […]

Categories
Siasa

Chenge Amtukana Mwandishi Aliyemhoji Kiungwana Kuhusu Hatma Yake Kisiasa

Categories
Habari

ZAIDI ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi

  ZAIDI ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi huku wafugaji wa wanyama hao wakitakiwa kuwapa chanjo kabla ya utaratibu wa kuwaua haujaanza. Aidha imebainika asilimia kubwa ya wanaong’atwa na mbwa hao ni wanafunzi nyakati za asubuhi wanapokwenda shule, hivyo kuongeza hofu ya kuibuka kwa ugonjwa wa kichaa cha […]

Categories
Biashara

Taasisi Ya Moody Yashusha “Rating” Ya Uchumi Wa Kati Wa Tanzania, Kisa Uchumi Sio Halisi, Ukwasi Hautabiriki Hasa Kupata Mikopo Ya Nje

London, 21 August 2020 — Moody’s Investors Service (“Moody’s”) has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable from negative. The downgrade to B2 reflects Moody’s view that governance remains very weak, raising risks to Tanzania’s credit profile. In […]

Categories
Habari

Serikali Yawataka Wamiliki Wa “Drones” (Vindege Vinavyojiendesha Vyenyewe) Kuzisajili Ndani Ya Siku 4!

Categories
Maisha

Tujikumbushe: Hekima Za Baba Askofu Bagonza, PhD.

Categories
Habari Siasa

“Afisa wa TISS Aliyemteka Dkt ULIMBOKA” Apitishwa na CCM Kuwania Ubunge

Jina la Ramadhan Ighondu laweza kuwa geni kwenye duru za siasa lakini liliwahi kuvuma sana miaka ya nyuma. Soma habari hii iliyochapishwa na gazeti la Mwanahalisi July 2012 Aliyemteka Kubenea Huyu Hapa Na Saed Kubenea – Imechapwa 25 July 2012Ni Ighondu wa Usalama wa Taifa RAMADHANI Ighondu, afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ndiye ametajwa kuwa […]

Categories
Habari Siasa

CCM Kutangaza Waliopitishwa Kugombea Ubunge: Membe, Zitto Watia Neno

Categories
Habari Siasa

Wabunge 75 wa CCM “watupwa nje”

WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, ulifanyika jana Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya mwenyekiti wake, Dk. John Magufuli. Kati ya wabunge hao, yumo Waziri […]