Categories
Habari Siasa

Balozi Wa Marekani Awapongeza Dkt Mwinyi Na Maalim Seif Kwa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar

Categories
Habari

Mutasa, mhitimu aliyeisotea PhD kwa miaka 41

Wakati Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kikifanya mahafali yake ya 50 leo, Mzee Samuel Rugaiyamu Mutasa, atakuwa kivutio cha pekee pale atakaposimama na kuwa miongoni mwa wahitimu wa Shahada ya Uzamivu (PhD). Akiwa na miaka 82 Mutasa anaitia kibindoni shahada yake ya uchunguzi wa kikemia wa baadhi ya mimea lishe na mimea dawa ya […]

Categories
Habari

Tumerejea Hewani

Tovuti hii bora kabisa ya habari za Kiswahili duniani imerejea hewani baada ya ukarabati mkubwa. Japo msomaji anaweza asibaini tofauti kati ya tovuti hii ilivyokuwa awali na ilivyo sasa, ukweli ni kwamba kuna maboresho kadhaa yaliyofanyika, kubwa zaidi likiwa kwenye usalama, wa msomaji na wa tovuti yenyewe. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati tukiwa […]

Categories
Habari

Kampuni Ya New Habari Yasitisha Uzalishaji Wa Magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba Na Bingwa Kutokana Na “Vyuma Kukaza.”

Categories
Biashara

CHADEMA Yakanusha Alichosema Halima Mdee na Wenzie 18. Yasisitiza Uamuzi Wa Kuwavua Uanachama Unapaswa Kuzingatiwa Na Mamlaka

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA WALIOKUWA WANACHAMA 19 Tumesikia kauli iliyotolewa na waliokuwa Wanachama wetu 19 waliochukuliwa hatua na Kamati Kuu ya kufukuzwa uanachama kuwa wanakusudia kukata rufaa kwa mujibu wa Katiba ya Chama toleo la Desemba, 2019. Napenda kutoa ufafanuzi kwenye baadhi ya hoja kama ifuatavyo; 1. […]

Categories
Kimataifa

“The Ugandan Opposition Leader Survives An Attack. The U.S. Needs To Take A Stand,” Writes Jeffrey Smith

Opinion by Jeffrey SmithDec. 2, 2020 at 3:06 p.m. ESTJeffrey Smith is the founding director of Vanguard Africa, a nonprofit organization that supports pro-democracy initiatives in Africa. This week, Ugandan security forces opened fire on the campaign convoy of Bobi Wine, the country’s leading opposition candidate for president. The bloody images and video from the […]

Categories
Habari Siasa

#MustRead: “Authoritarianism Wins Big in Tanzania Amid Bloodshed and Vote Rigging,” Writes Sophie Nieman

Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system. SOPHIE NEIMAN Nov 30 When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to Tanzania in August, after three years in exile and with a daring plan to challenge incumbent John Magufuli in the October presidential elections, he was cautiously optimistic. There were […]

Categories
Habari Siasa

Uchaguzi Mkuu Uganda: Tume ya Uchaguzi yawaonya Polisi

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imewatahadharisha polisi nchini humo dhidi ya kuwazuia wagombea wa urais kuendesha kampeni zao. Tume hiyo imesema kuwa imepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wagombea wa urais na pia kuona taarifa za vyombo vya habari kwamba polisi inazuia na kuvuruga kampeni zao. Wakati huo huo, katika taarifa ya pamoja mabalozi wa […]

Categories
Habari Siasa

News Alert: Halima Mdee Na Wenzake Waliovuliwa Uanachama Chadema Kuongea Na Wanahabari Kesho

Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na Chadema jana kwa tuhuma za usaliti wamepanga kuzungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam Jumapili ya kesho tarehe 29.11. 2020. Hii ni developing story. Taarifa zaidi zitawajia kadri zinavyowasili.

Categories
Habari Siasa

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yadai Ilifanya Uteuzi Wa Akina Halima Mdee Baada Ya Kupatiwa Majina Na Mnyika Novemba 17