Categories
Habari

Marekani Yajenga Vyoo Katika Shule 25 Morogoro Na Iringa, Kuhudumia Zaidi Ya Wanafunzi 14,000

How it started vs. How it’s going Hivi karibuni @USAIDTanzania imejenga vyoo na sehemu za kunawia mikono katika shule 25 katika mikoa ya Morogoro na Iringa vitakavyohudumia zaidi ya wanafunzi 14,000. pic.twitter.com/VX0p4UySKD — US Embassy Tanzania (@usembassytz) December 22, 2020

Categories
Habari

Polisi Wazima Pati Ya Ufuska Dar

Desemba 23, siku mbili kabla ya Sikukuu ya Krismasi, wanaume jijini hapa walialikwa katika sherehe ya kuburudika na wanawake wawatakao lakini Jeshi la Polisi limeifuta sherehe hiyo na kuwatia mbaroni waandaaji wake. Ni sherehe ya ufuska iliyopangwa kufanyika eneo la Mbezi Beach jijini hapa, ambayo mhudhuriaji alitakiwa kununua kadi itakayomuwezesha kuingia katika nyumba maalum na […]

Categories
Habari

DPP Asema Ni Kosa Kuwarejeshea Fedha Waliojiunga na QNET

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai wametapeliwa kwamba kufanya hivyo ni kosa. Ameeleza hayo jana katika mahojiano maalumu na gazeti hili ikiwa ni siku mbili baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita kurejesha Sh5.48 milioni kwa […]

Categories
Habari

Tanzania Yakataa Chanjo Ya Korona

Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema. Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema, serikali inaendelea na shughuli ya kufanyia majaribio tiba za kiasili. “Hakuna mipango ya kuagiza chanjo ya virusi vya corona kutoka ughaibuni. Wataalamu wetu wa afya na wanasayansi wanaendelea kutafiti na kufanyia […]

Categories
Habari Siasa

Wabunge Wa ACT-Wazalendo Waapishwa, Wasema Hawatokwenda Nje Ya Nchi Kulalamika Masuala Ya Tanzania

Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa juu wa ACT-Wazalendo […]

Categories
Habari Kimataifa

Waziri Mkuu Wa Eswatini Afariki Kwa Korona

Waziri Mkuu wa ufalme wa Eswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia baada ya kuugua korona kwa wiki 4.

Categories
Habari

Tanzia: Mwandishi Nguli Wa Riwaya Za Kishushushu John le Carré Afariki.

Galacha wa uandishi wa riwaya za kishushushu, John le Carré amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Mwandishi huyo Muingereza ambaye kifo chake kimetokana na homa ya mapafu (pneumonia) aling’ara kwenye fani ya uandishi riwaya za kishushushu kwa takriban miongo 6, huku kazi zake bora zaidi zikiwa ni pamoja na riwaya ya “The Spy […]

Categories
Michezo/Burudani

Msimamo Wa Ligi Kuu Ya Soka Tanzania Bara

Categories
Habari

Baba Askofu Benson Bagonza, PhD, Asema Kuna Watu Wamefika Kwake Wakidhamiria Kumdhuru

Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera amesema kuna watu wenye nia ovu wamefika Karagwe wakiwa na lengo la kumdhuru.Bagonza amejijengea umaarufu kwa namna yake ya ukosoaji wa uvunjifu wa haki za binadamu na utawala bora. “Ni kweli siko salama. Kuna watu wanatafuta kupendezesha mamlaka kwa kuchukua uhai […]

Categories
Habari

Wakili Wa Tundu Lissu Adai Ameahirisha Kufungua Kesi ICC Ili Kukusanya Ushahidi Zaidi