Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetamgaza kuwa hakitokwenda kutoa maoni yake kwa Kikosi Kazi cha Katiba mpya hapo kesho. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar leo, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema msimamo wa chama hicho haujabadilika. Kadhalika, Mnyika aliongelea mazungumzo yanayoendelea kati ya chama hicho, CCM na serikali, sambamba na kugusia […]
