Nimefurahishwa na ushindi wa Taifa Stars wa 1-0 dhidi ya Benin. Nawapongeza wachezaji, benchi la ufundi na TFF, kwa jitihada za kushinda pambano la leo. Nawatakia kheri katika michezo iliyobaki ili Tanzania iweze kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani.#KaziIendelee pic.twitter.com/PteTHemlat
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) October 10, 2021
Categories
Taifa Stars Yaibwaga Benin 1-0, Bao la Simon Mchuva Laipeleka Stars Kileleni Kundi J, Mama Samia Atoa Pongezi
