Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka wa Kimataifa wa Tanzania @HimidMao Ajiunga na Klabu ya Ghazl El-Mahalla Ya Misri Inayokipiga Ligi Kuu ya Nchi Hiyo

Mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami amejiunga na klabu ya soka ya Ghazl El-Mahalla inayokipiga Ligi Kuu ya Misri, akitokea klabu ya Entag El Harby ya nchini humo.

Tovuti hii inamtakia Himid kila la heri katika klabu yake mpya šŸ™