Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeyakataa maamuzi ya Kamati ya Miss Tanzania kutaka kumuengua Miss Tanzania 2020/2021 Rose Manfere asiende kushiriki Shindano la Miss World kwa madai ya kuvunja masharti, BASATA imesisitiza Rose ndio aiwakilishe Tanzania na sio Mshindi wa pili Juliana Rugumisa.
Categories
BASATA Yakataa Uamuzi Wa Kamati Ya Miss Tanzania Kumuengua Miss Tanzania 2020/2021 Rose Manfere Kushiriki Miss World
