Jana kulifanyika mkutano mkubwa wa viongozi mbalimbali wa dini “kumuunga mkono” mgombea wa CCM, Rais John Magufuli. Tukio hilo liligusa hisia za watu mbalimbali, na gazeti hili lilifanikiwa kupata maoni ya baadhi ya wanachi hao.
Naandika makala fupi kuhusu mkutano wa viongozi wa dini uliofanyika leo na "kumsapoti" mgombea wa CCM @MagufuliJP. Nahitaji maoni yako kwa njia ya twiti fupi pic.twitter.com/hY2fm7qP9b
— Evarist Chahali (@Chahali) August 17, 2020