

Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui masaa matatu wamwachie akiwa mzima na salama.
— Bernard K. Membe (@BenMembe) September 16, 2020
Msaidizi wangu Jerome tunaambiwa anakabiliwa na tuhuma ya money laundering. Ni maajabu ya maajabu! Uliona wapi Mtu anakamatwa Airport bila hata senti moja mfukoni mwake na bila kuwa na hela yoyote kwenye bag yake anakamatwa na kutuhumiwa kwa kosa la Money Laundering! Tanzania!
— Bernard K. Membe (@BenMembe) September 17, 2020
Watanzania wenzangu! Taarifa kuwa kuna msaidizi wangu mwingine ametekwa au kushikiliwa na Polisi si za kweli hata kidogo! Sina msaidizi mwingine, wala ndugu, wala jamaa au rafiki anayeshikiliwa na Polisi mbali ya Jerome Luanda. Puuzeni taarifa hiyo!
— Bernard K. Membe (@BenMembe) September 20, 2020