#TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya @earadiofm Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam, Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.#RIPBabaT pic.twitter.com/pcYWAqE3Fp
— EastAfricaRadio (@earadiofm) November 11, 2021
Categories
Tanzia: Aliyekuwa Mtangazaji Maarufu wa Kipindi Cha Muziki wa Reggae, Baba T, Afariki Dunia #RIPBabaT
