Categories
Habari

Mtaala Wa Somo La Historia Ya Tanzania Uliokuwa Ukiandaliwa Kwa Shinikizo La Magufuli Wapigwa Teke

Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.

Source: ITV