Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Ziarani Misri

Rais Samia atafanya ziara ya siku 3 Misri kuanzia kesho kufuatia mwaliko wa Rais Abdel Fattah Al Sisi.

Rais Samia atazungumza na mwenyeji wake kuhusu diplomasia, uchumi, siasa, utalii na huduma za kijamii.

Pia, atashuhudia utiaji saini mkataba 1 na hati 7 za makubaliano.