Categories
Habari

Mama Samia Aelekea Rwanda Kwa Ziara Ya Siku Mbili

Image
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Agost 02, 2021 akielekea Kigali Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwalio wa Rais Paul Kagame.