Categories
Afya Habari

Leo Disemba Mosi ni Siku ya UKIMWI Duniani 2021. Mama Samia ni Mgeni Rasmi Maadhimisho Kitaifa Huko Mbeya. Kaulimbiu ni ‘Zingatia Usawa. Tokomeza UKIMWI, Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko.’

Leo Desemba 1 ni kilele cha Maazimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambayo inalenga kukuza ufahamu na athari zitokanazo na ugonjwa huo. Kitaifa maazimisho hayo yanafanyika mkoani Mbeya ambapo kaulimbiu ni ‘Zingatia Usawa. Tokemeza UKIMWI, Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko.’