Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema bado kinahitaji kuonana na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan ili kujadili mustakabali wa siasa nchini. pic.twitter.com/QzmntfKzbz
— CapitalRadio (@CapitalRadiotz) November 21, 2021
Categories
Chadema Wasema Bado Wanahitaji Kukutana na Mama Samia
