Category: Uchumi



MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amehoji bungeni zilipo fedha za watanzania Shilingi Trilioni 360 ambazo Serikali ilipaswa kuzikusanya huku akishauri Mkataba baina ya Kampuni ya SICPA na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu Mtambo wa ETS uvunjwe kwani umelisababishia taifa hasara kubwa. Mpina amesema hayo bungeni Dodoma wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo […]
