Categories
Michezo/Burudani

Tetesi Za Usajili Soka Barani Ulaya: Samatta Mbioni Kuhamia Uturuki

Tetesi za usajili kwa vilabu vya soka hapa Uingereza zinadai kuwa mwanasoka pekee wa Tanzania katika Ligi Kuu ya England, Mbwana Samatta, yupo mbioni kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo kutoka klabu yake ya sasa ya Aston Villa. Hata hivyo kumekuwa na mkanganyiko kuhusu hatma ya mwanasoka huyo ambaye uwezo wake wa […]

Categories
Michezo/Burudani

Matatizo Kama Kuni za Kuchochea Mafanikio: Kukimbia “Maisha Ya Kihalifu” Kulivyopeleka Mafanikio ya Kimuziki ya Dababy

  Moja ya majina makubwa duniani kwenye muziki wa kufokafoka ni rapa Dababy wa Marekani. Msanii huyu ambaye jina lake halisi ni Jonathan Kirk, ni “sura iliyozoeleka” kwenye chaneli mbalimbali za runinga. Lakini safari ya Dababy haikuwa rahisi. Yayumkinika kusema kuwa aliandamwa na maisha ya “kihalifu” tangu udogoni, na mwaka jana tu alinusurika kwenda jela […]

Categories
Michezo/Burudani

CEO Mpya Wa Simba Barbara Gonzalez Aanza Kazi Kwa Ushindi, Simba Wainyuka Ihefu SC 2-1

Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalenz, ameanza majukumu yake mapya vizuri baada ya klabu hiyo kuinyuka Ihefu FC mabao 2-1 katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom. Simba ndio waliokuwa wa kwanza kuona nyavu za wapinzani wao baada ya John Bocco kupachika bao dakika ya 10. Hata hivyo bao hilo halikudumu, […]

Categories
Michezo/Burudani

Wataalam wa HR/Uajiri: Bodi Ya Simba Haijakiuka Taratibu Kumteua CEO Mpya Barbara Gonzalez

Kufuatia mjadala uliojitokeza jana baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba ya Tanzania kutangaza kuwa imemteua Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez, kuwa Afisa Mtendaji Mkuu kamili, gazeti la Habari Tanzania lilifanya mawasiliano na wataalamu wa masuala ya raslimali watu (human resources) na uajiri ili kupata mtazamo wao wa kitaalamu. […]

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yapata CEO Mpya: Mo (@MooDewji) Amtambulisha Mrithi Wa Senzo

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaandika Historia: Sasa Inapatikana Kwenye “Gemu” ya Kompyuta ya Playstation

Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza Tanzania, na miongoni mwa chache barani Afrika, kuwemo kwenye “gemu” ya kompyuta (computer game) ya Playstation. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa twiti ya mfadhili mkuu wa kalbu hiyo kongwe, Mohammed “Mo” Dewji.  

Categories
Michezo/Burudani

Messi Aomba Kuhama Barca

Mwanasoka bora kabisa duniani wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Lionel Messi, amewasilisha maombi ya kuhama timu hiyo. Messi, raia wa Argentina mwenye miaka 33 aliwasilisha ombi hilo leo Jumanne kwa njia ya fax akitumia kifungu kwenye mkataba wake kinachomruhusu kukatisha mkataba ghafla. Wiki iliyopita, klabu hiyo ya Messi ilipata kipigo cha kihistoria baada ya […]

Categories
Michezo/Burudani

Ratiba Kamili Ya Ligi Kuu Ya Soka Tanzania Bara kwa Msimu wa 2020/2021

 

Categories
Kimataifa Michezo/Burudani Siasa

Wasanii Tz Wana La Kujifunza Katika Mahojiano Haya Kati Ya Rapa Cardi B na Mgombea Urais USA Joe Biden

Moja ya habari zilizovuma kwenye vyombo vya habari vya Marekani ni mahojiano kati ya rapa maarufu wa kike wa Marekani, Cardi B na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democrats, Joe Biden. Kwa vile Tanzania nayo inajiandaa na kinyang’anyiro cha uchaguzi kama ilivyo Marekani, mahojiano hayo yanaweza kuwa funzo nzuri kwa wasanii mbalimbali nchini […]