Habari zilizopatikana kutoka kwa wakazi mbalimbali wa jiji la Dar es Salaam zinzeleza kuwa kumetoa tetemeko la rdhi katika maeneo kadhaa. Kwa mujibu wa mtandao wakijamii wa Twitter, tetemeko hilo lilisikika maeneo ya Bunju, Tabata, Kurasini, Mabibo, Ubungu, Tegeta, Sinza, Mbagala, Mikocheni, Kigamboni, Kitunda, Magomeni, Kinondoni, Mwananyamala, Buguruni na maeneo mengineyo ambayo taarifa zimekuwa zikimiminika […]
