Categories
Habari

Askofu Mwamakula: Tunduma Hali Si Shwari

Anaandika Baba Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula – Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki TUNDUMA HALI SIO SHWARI! Hali ya Tunduma mkoani Songwe siyo nzuri. Hadi sasa wamekufa watu wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Vurugu zilizosababisha vifo hivyo zina uhusiano kwa sehemu na ‘mienendo’ au ‘matendo’ ya baadhi ya […]

Categories
Habari Maisha

Manyara Yaongoza Kwa Ukeketaji. Yafuatiwa Na Dodoma, Arusha, Mara Na Singida.

RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana  huku ripoti hiyo ikieleza kuwa wasichana wanaozaliwa au kulelewa na mama aliyekeketwa hukeketwa pia. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Redio ya C-FM ya Jijini hapa jana, Msimamizi […]

Categories
Habari Siasa

Mahakama Yaahirisha Kesi Za Lissu Mpaka Baada Ya Uchaguzi

Categories
Habari

VIDEO: Askofu Severine Niwemugizi Aongelea Uchaguzi Mkuu, Ataka Walioenguliwa Warejeshwe

Categories
Habari

Breaking News: Saed Kubenea Akamatwa Kwa “Kosa” la “Kuingia Tanzania Kinyume Cha Sheria”

Categories
Habari Kimataifa

Wanajeshi 20 wa Tanzania Wauawa na Magaidi Msumbiji.

Kikundi cha kigaidi cha Islamic State Central Africa Province (ISCAP) kimetangaza kuwaua wanajeshi 20 wa Tanzania kuafatia mapambano Kaskazini Mashariki mwa Msumbiji. Vynazo vya habari vya kijeshi vimelizeleza shirika la habari la Amaq kwamba mapambano dhidi ya kikundi hicho cha magaidi yalijumuisha wanajeshi wa Tanzania na wa Msumbiji katika mji wa Masemboa da Praia, katika […]

Categories
Habari Siasa

ACT-Wazalendo Yazindua Ilani Yake Ya Uchaguzi (Isome Hapa)

Categories
Habari Siasa

Matumizi Mabaya Ya Fedha za Walipakodi: Magufuli Atuma Ndege Ya Rais Kwenda Kenya Kumleta Mchekeshaji

Rais John Magufuli, ambaye kwa miaka mitano ya utawala wake amekuwa akijinasibu kama anayechukia matumizi mabaya ya raslimali za umma, alitoa ndege ya rais kwenda Kenya kumleta mchekeshaji maarufu, Eric Omondi, kwa ziara ya siku mbili. Kwa mujibu wa taarifa za tovuti ya , licha ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku ndege kutoka Kenya, msanii […]

Categories
Habari

Clouds TV na Radio Wafungiwa na TCRA kwa “Kutangaza Takwimu za Uchaguzi Ambazo Hazijathibitishwa na NEC.”

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa […]

Categories
Habari

Mchungaji Ashikiliwa na TAKUKURU kwa “Mikopo Umiza” Yenye Riba Hadi 200%

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tanzania wilayani Babati, Emmanuel Petro Guse, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kuendesha biashara ya mikopo umiza bila ya kuwa na leseni ya biashara ya ukopeshaji fedha. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara Holle Joseph Makungu akizungumza mjini Babati Agosti 28 amesema awali […]