Categories
Habari

Wimbi La Vijana Watumia Ugoro Waongezeka Nchini

Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la vijana wanaotumia ugoro kama kilevi ikilinganishwa na miaka ya nyuma ilikozoeleka kama starehe ya wazee. Mwananchi limepita maeneo mbalimbali ya Mji wa Moshi kuzungumza na baadhi ya watumiaji na wauzaji wa ugoro kujua siri iliyopo katika bidhaa hiyo ambayo imewavutia vijana kuanza kuitumia kama kilevi. Ugoro […]

Categories
Habari

Halima Mdee Na Wenzake Wakata Rufaa Baraza Kuu Chadema

Dar es Salaam. Mwezi mmoja tangu wabunge 19 wa Viti Maalum waliokuwa wanachama wa Chadema kufukuzwa licha ya kuapishwa na Spika wa Bunge ili kuitumikia nafasi hiyo, wamekata rufaa kupinga uamuzi wa kuvuliwa uanachama utakaomaanisha kuikosa nafasi hiyo ya uwakilishi bungeni. Wabunge hao wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee […]

Categories
Habari

Wakili Wa Lissu Afungua Kesi Dhidi Ya Magufuli Mahakama Ya Kimataifa Ya Uhalifu (ICC)

 

Categories
Habari

Mamlaka ya Hali Ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa tahadhari ya mafuriko, mvua kubwa ikitarajiwa mikoa sita

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku mbili katika mikoa sita na kuleta athari katika mikoa hiyo. Mikoa inayotarajiwa kunyesha mvua hizo ni Iringa, Njombe, Lindi Mtwara, Ruvuma na Morogoro. Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 26, 2020 imesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha juu ya wastani kuanzia […]

Categories
Habari

Marekani Yajenga Vyoo Katika Shule 25 Morogoro Na Iringa, Kuhudumia Zaidi Ya Wanafunzi 14,000

How it started vs. How it’s going Hivi karibuni @USAIDTanzania imejenga vyoo na sehemu za kunawia mikono katika shule 25 katika mikoa ya Morogoro na Iringa vitakavyohudumia zaidi ya wanafunzi 14,000. pic.twitter.com/VX0p4UySKD — US Embassy Tanzania (@usembassytz) December 22, 2020

Categories
Habari

Polisi Wazima Pati Ya Ufuska Dar

Desemba 23, siku mbili kabla ya Sikukuu ya Krismasi, wanaume jijini hapa walialikwa katika sherehe ya kuburudika na wanawake wawatakao lakini Jeshi la Polisi limeifuta sherehe hiyo na kuwatia mbaroni waandaaji wake. Ni sherehe ya ufuska iliyopangwa kufanyika eneo la Mbezi Beach jijini hapa, ambayo mhudhuriaji alitakiwa kununua kadi itakayomuwezesha kuingia katika nyumba maalum na […]

Categories
Habari

DPP Asema Ni Kosa Kuwarejeshea Fedha Waliojiunga na QNET

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai wametapeliwa kwamba kufanya hivyo ni kosa. Ameeleza hayo jana katika mahojiano maalumu na gazeti hili ikiwa ni siku mbili baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita kurejesha Sh5.48 milioni kwa […]

Categories
Habari

Tanzania Yakataa Chanjo Ya Korona

Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema. Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema, serikali inaendelea na shughuli ya kufanyia majaribio tiba za kiasili. “Hakuna mipango ya kuagiza chanjo ya virusi vya corona kutoka ughaibuni. Wataalamu wetu wa afya na wanasayansi wanaendelea kutafiti na kufanyia […]

Categories
Habari Siasa

Wabunge Wa ACT-Wazalendo Waapishwa, Wasema Hawatokwenda Nje Ya Nchi Kulalamika Masuala Ya Tanzania

Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa juu wa ACT-Wazalendo […]

Categories
Habari Kimataifa

Waziri Mkuu Wa Eswatini Afariki Kwa Korona

Waziri Mkuu wa ufalme wa Eswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia baada ya kuugua korona kwa wiki 4.