Categories
Habari

Mitano Tena: Kampeni Za Kubadili Katiba Ili Magufuli Atawale Milele Zaanza Rasmi, Mbunge Awasilisha Hoja

Categories
Habari

Balozi Wa Tanzania Nchini Israeli Apewa Chanjo Dhidi Ya “Makorona Ya Ajabu Ajabu” 😊

Categories
Habari

Mitano Tena: Mbunge wa CCM Rorya Apaka Rangi Ya CCM Kwenye Ambulance, Adai Ni Maslahi Mapana Ya Wananchi

Categories
Habari

Mitano Tena: Magufuli Awataka Watanzania Kupuuza Uzazi Wa Mpango, Asema Wavivu Ndio Wanaojipangia Watoto

Categories
Habari

Mitano Tena: Vijiji 85 SENGEREMA Havina Zahanati

Categories
Habari

Mitano Tena: Radio Free Afrika Yakatisha Matangazo Ya BBC Baada Ya Padre Aliyekuwa Anahojiwa Kutamka Korona

Katika hali ambayo si ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache kuendesha ibada za mazishi, lakini sasa wamekuwa wakiitwa […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Watumishi Namtumbo Wadai Posho Ya Miezi Mitano

WATUMISHI mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyopo Mkoa wa Ruvuma walioshiriki zoezi uandikishaji vyeti vya kuzaliwa vya watoto.wamelalamikia kusotea posho zao kwa zaidi ya miezi mitano sasa . Watumishi hao wanasema wanadai posho ya zaidi ya Sh milioni 100 na juhudi zao za kuzidai zinaelekea kugonga mwamba. Pamoja na kudai kuwa hawajalipwa fedha […]

Categories
Habari

Dhulmati: Mjane Ailalamikia CCM Kutomlipa Kodi ya Pango Kwa Miaka Mitano, Deni Lafikia Milioni 3

Mkazi mmoja wa kata ya Osunyai ,katika jiji la Arusha , Gloria Laizer ambaye ni mama mjane, amelazimika kuangua kilio hadharani kumlalamikia mpangaji wake ambaye ni chama Cha Mapinduzi CCM kata hiyo kwa kushindwa kumlipa deni la pango katika ofisi waliopanga katika kipindi Cha miaka mitano linalofikia kiasi Cha zaidi ya shilingi milioni 3.5. Mjane […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Watoto Waning’inizwa Mtini Kupimwa Uzito, Wajawazito Walazwa Chini Tarime

Categories
Habari

RC Rukwa Aagiza Wanafunzi Kukaguliwa Kubaini Wanaovaa Hirizi Shuleni

Agizo hilo alilitoa jana kwenye mkutano alioufanya Kijiji cha Malonje wilayani Sumbawanga kutokana na baadhi ya wananchi kudaiwa kuwa na tabia ya kuwaita waganga wa jadi, maarufu lambalamba, na kuwalipa fedha ili wawasafishie nyumba na mali zao. “Kutokana na baadhi ya wazazi wa wanafunzi kuamini ushirikina kupita kiasi, huenda wakawapa hata watoto wao hirizi na […]