Categories
Biashara Habari

Mama Samia Aendelea Kusikia Vilio Vya Wananchi: TRA Yazifungulia Akaunti Zote Za Wafanyabiashara Zilizokuwa Zimeshikiliwa Kutokana Na Masuala Ya Kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF). Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano […]

Categories
Biashara Siasa

Maoni Ya Mdau “The Boss”: Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia

Hakuna kitu kinaamua siasa kama ‘wakati’.Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati. zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo. Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli…na uongozi wake kiujumla..Kubanwa Uhuru wa kuongeaKufokewa na kukaripiwaKutoa matamko Kwa ukali..Kuzungumza Peke yake..Kutokukosolewa ..Kukosekana Kwa mijadala na majadiliano..Na mengi yaliyoenda na hayo.. Ujio wa Samia umebadili siasa Kwa ujumla..Samia hafoki […]

Categories
Biashara Habari

Mo (@moodewji) Ateuliwa Na Rais Ramaphosa Kwenye Jopo La Washauri Watano Wa Uchumi, Uwekezaji Afrika Kusini

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amemteua mfanyabiashara kijana nchini, Mohamed Dewji (Mo) kuwa kwenye jopo lake la watu watano kumshauri kuhusu masuala ya uchumi na uwekezaji. Dewji, ambaye hivi karibuni Jarida maarufu la Forbes limemtaja kuwa bilionea kijana wa 13 kati ya 18 barani Afrika, ameingia kwenye jopo hilo ambalo lengo ni kupanga mikakati […]

Categories
Biashara

Breaking News: Mama Samia Amtimua Kazi Mkuu Wa Idara Ya Usalama wa Taifa

Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu, ameendelea na mabadiliko katika serikali yake baada ya kuchukua hatua nzito, japo iliyotarajiwa, ya kumwondoa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Kwa habari kamili na uchambuzi BONYEZA HAPA

Categories
Biashara

Mitano Tena: Msako Wa Faini Za Magari Balaa, Trafiki Kila Kona

Dar es Salaam. Kama umewahi kuandikiwa faini kwa kukiuka sheria za barabarani na hujalipa imekula kwako. Ndivyo hali ilivyo sasa kufuatia ukaguzi wa trafiki unaofanyika kila kona ya nchi, hadi katika gereji na maegesho ya magari. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani liko katika operesheni iliyotangazwa na Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Simon Sirro […]

Categories
Biashara Habari Siasa

Baada Ya Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa China Kutua CHATO, Kesho Rais Nyusi Wa Msumbiji Kuwasili Mji Huo Uliogeuka Kama “Ikulu Ndogo.”

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kutua kijijini kwa Rais Magufuli, Chato, katika ziara yake wiki iliyopita, Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi nae atawasili kesho kijijini hapo kwa ziara ya siku mbili. Yayumkinika kuiangalia Chato sasa kama “Ikulu isiyo rasmi” baada ya shughuli mbalimbali za kiserikali kuhamia katika kijiji hicho.

Categories
Biashara

CHADEMA Yakanusha Alichosema Halima Mdee na Wenzie 18. Yasisitiza Uamuzi Wa Kuwavua Uanachama Unapaswa Kuzingatiwa Na Mamlaka

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA WALIOKUWA WANACHAMA 19 Tumesikia kauli iliyotolewa na waliokuwa Wanachama wetu 19 waliochukuliwa hatua na Kamati Kuu ya kufukuzwa uanachama kuwa wanakusudia kukata rufaa kwa mujibu wa Katiba ya Chama toleo la Desemba, 2019. Napenda kutoa ufafanuzi kwenye baadhi ya hoja kama ifuatavyo; 1. […]

Categories
Biashara

Askofu Bagonza Akanusha Twiti Feki ya MATAGA Kuhusu Endorsement Ya Sheikh Ponda kwa Lissu

Twiti feki ya MATAGA ni hii hapa

Categories
Biashara

Macho Yote Kwa Membe Baada Ya ACT – Wazalendo Kutamka Itatangaza Mgombea Urais Inayemuunga Mkono (Ikimaanisha Si “Mgombea Wao” Membe)

Tamko hilo la Zitto ni kama kupigia mstari kauli hii ya Maalim Seif Sharif Hamad Macho na masikio sasa yaelekezwa kwa Bernard Membe, kada wa zamani wa CCM aliyefukuzwa na chama hicho tawala kisha akajiunga na ACT-Wazalendo, kabla ya kupitishwa kuwa mgombea wa chama hicho katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. […]

Categories
Biashara Siasa

Vijana wa CCM Wavamia Ofisi Ya ACT-Wazalendo Kaskazini Unguja Na Kuchana Bendera Kisha Wakabandika Picha za Dkt Mwinyi.

Chanzo: Jamii Forums