Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Septemba 18, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia baraza hilo. Pamoja na Mkutano huo, Rais Samia pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, […]
