Categories
Afya Habari

Mo (@moodewji) Awasihi Watanzania Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Kirusi Kipya cha Korona

Categories
Afya

“Viongozi Wasiochanjwa Dhidi ya Korona Waachie Ngazi” – Waziri wa Afya Dkt Gwajima

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa dhidi ya korona watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya ugonjwa huo. Waziri wa Afya amesema kama Rais Samia Suluhu kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Categories
Afya Habari

Leo Disemba Mosi ni Siku ya UKIMWI Duniani 2021. Mama Samia ni Mgeni Rasmi Maadhimisho Kitaifa Huko Mbeya. Kaulimbiu ni ‘Zingatia Usawa. Tokomeza UKIMWI, Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko.’

Leo Desemba 1 ni kilele cha Maazimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambayo inalenga kukuza ufahamu na athari zitokanazo na ugonjwa huo. Kitaifa maazimisho hayo yanafanyika mkoani Mbeya ambapo kaulimbiu ni ‘Zingatia Usawa. Tokemeza UKIMWI, Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko.’