Usiku wa kuamkia leo vibanda vya wafanyabiashara wadogo eneo la Kimara Mwisho, Dar es Salaam vimevunjwa, zoezi lililopelekea kuharibiwa na kupotea kwa mali zao.
— Swahili Times (@swahilitimes) December 3, 2021
Rais Samia Suluhu alisema wakati wa kuwaondoa Machinga hataki kuona wakivunjiwa vibanda au nguvu ikitumika kama awali. pic.twitter.com/JfMgp6Da9h

