Categories
Afya

“Viongozi Wasiochanjwa Dhidi ya Korona Waachie Ngazi” – Waziri wa Afya Dkt Gwajima

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa dhidi ya korona watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya ugonjwa huo.

Waziri wa Afya amesema kama Rais Samia Suluhu kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali