Kwa mujibu wa taarifa, mtandao wa kijamii wa Twita ambao sasa unamilikiwa na tajiri namba moja duniani, Elon Musk, unawabagua watumiaji wenye followers wachache. Kinachoendelea ni kwamba watumiaji wenye followers wengi (zinazofahamika kama “big accounts”) wakifanya interactions na akaunti zenye followers wachache (zinazofahamika kama “small accounts”) basi algorithm ya Twita inapelekea reach ya akaunti hizo […]
