Categories
Uncategorized

Sekondari ya Tabora Boys : shule “iliyozalisha” lundo la viongozi, ilikuwa pekee ya mchepuo wa kijeshi na Tabora Girls

UNAPOUTAJA mwaka 1922, kipindi alichozaliwa Baba wa Taifa hayati Julius Nyerere, ni dhana inayoenda sambamba na kuanzishwa kwa shule ya sekondari Tabora Kwa lugha rahisi ‘wote ni wazaliwa wa mwaka mmoja’ TABORA HIGH-SCHOOL Mbali na kugongana kwa mwaka huo wa kuzaliwa, ndiko Mwalimu Nyerere alikopata elimu yake ya sekondari, ambayo ina mchango mkubwa wa kumfikisha […]