Categories
Mitandao ya kijamii

Twita inabagua akaunti zenye followers wachache

Kwa mujibu wa taarifa, mtandao wa kijamii wa Twita ambao sasa unamilikiwa na tajiri namba moja duniani, Elon Musk, unawabagua watumiaji wenye followers wachache.

Kinachoendelea ni kwamba watumiaji wenye followers wengi (zinazofahamika kama “big accounts”) wakifanya interactions na akaunti zenye followers wachache (zinazofahamika kama “small accounts”) basi algorithm ya Twita inapelekea reach ya akaunti hizo zenye followers wengi kupungua.

Maana yake ni kwamba Twita inapendelea kuona interactions kati tu ya big accounts na big accounts na sio big accounts na small accounts.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *