
Baada ya kupotea kwa miezi kadhaa kutokana na sababu za kiufundi, sasa gazeti lako la mtandaoni la Habari Tanzania limerudi tena hewani.
Hata hivyo, bado kuna mchakato unaendelea kuliwezesha liwaletee habari kila siku. Kwa sasa matengenezo ya kiufundi yanakaribia kumalizika, na punde litakuwa hewani kila siku.