Mabadiliko yya Baraza la Mawaziri

Licha ya kauli ya mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twita, Elon Musk, aliyoitoa jana kwamba ataondoa “block button”, ukweli ni kwamba hawezi kufanya hivyo. Sheria za Google Play na Apple Store, sehemu mbili ambazo bila uwepo wake, Twitter itashindwa kufanya kazi kwa ufanisi, zinataka kila app kuwa na nyenzo ya kumwezesha mtumiaji wa app […]
“Ndugu zangu nawasihi mjihadhahari na wote wanaoleta mafarakano na vipingamizi kinyume cha mliyopokea (mapokeo). Waepukeni.Kwa maana watu kama hao wanatumikia tamaa zao kwa kutumia maneno matamu ya kudanganya kupotosha mioyo ya watu wanyofu” (Warumi 16:17-18). Sisi Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, 2.1. Tukizingatia yaliyojiri na yanayoendelea katika jamii ya Tanzania tangu Mkataba huu uwekwe hadharani, […]
UNAPOUTAJA mwaka 1922, kipindi alichozaliwa Baba wa Taifa hayati Julius Nyerere, ni dhana inayoenda sambamba na kuanzishwa kwa shule ya sekondari Tabora Kwa lugha rahisi ‘wote ni wazaliwa wa mwaka mmoja’ TABORA HIGH-SCHOOL Mbali na kugongana kwa mwaka huo wa kuzaliwa, ndiko Mwalimu Nyerere alikopata elimu yake ya sekondari, ambayo ina mchango mkubwa wa kumfikisha […]
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na mkosoaji mkali wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Dk Willbrod Slaa ametiwa mbaroni kwa tuhuma za uhaini. Slaa alikamatwa siku ya Jumapili katika msako mkali wa serikali ya wakosoaji wa mkataba maarufu wa Tanzania na Dubai. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji ya DP World […]
Baada ya kupotea kwa miezi kadhaa kutokana na sababu za kiufundi, sasa gazeti lako la mtandaoni la Habari Tanzania limerudi tena hewani. Hata hivyo, bado kuna mchakato unaendelea kuliwezesha liwaletee habari kila siku. Kwa sasa matengenezo ya kiufundi yanakaribia kumalizika, na punde litakuwa hewani kila siku.