
Month: October 2020


Network data from the NetBlocks Internet Observatory confirm widespread disruption to social media and online communication platforms via multiple internet providers in Tanzania as of Tuesday 27 October 2020. The incident comes on the eve of Tanzania’s presidential and national assembly elections and the service outages are ongoing at the time of writing. Real-time metrics […]


Katika hatua inayoweza kuzua mtafaruku mkubwa, kiongozi mkuu wa Kanisa la Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis, kutamka kuwa ndoa za jinsia moja zilindwe na sheria. “Mashoga wana haki ya kuwa katika familia. Ni watoto wa Mungu na wana haki ya familia. Haipaswi kumtimua mtu au kumfanya ajisikie vibaya,” aliongea Baba Mtakatifu katika waraka wa video […]

Nimewaita kupitia ninyi niongee na Watanzania. Wengi wameuliza Membe yupo wapi? Au kaunga mkono Juhudi, au kaondoka chama? Mimi Membe ni Mgombea Halali wa ACT Wazalendo. Ni chama chetu kizuri na nitakipeleka kwenye Uchaguzi wa Mwaka huu kama Mgombea wa Urais. Kuna watu walikuwa wanasubiri nitamke tu neno ila mambo yatimie. Mimi hupenda kujibu Maswali. […]


Ronaldo Akumbwa Na Korona

Janga La Moto Mlima Kilimanjaro

Mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi Afrika unawaka moto, sababu ya moto huo unaowaka umbali wa mamia ya mita kutoka usawa wa bahari bado hazijajuikana. Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen nchini Tanzania, mashuhuda wamesema kuwa jitihada za wakazi wa kuuzima moto huo lakini changamoto inayokumba zoezi hilo ni umbali ambao mto huo ulipo. Miale […]

Katibu mwenezi wa CHADEMA kata ya Muhintiri-Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kinyama kwa kukatwakatwa na mapanga na kufariki dunia akiwa shambani kwake jioni hii na watu wasiojulikana. Taarifa hii ni kwa mujibu wa mgombea ubunge jimbo la Singida Magharibi kwa tiketi ya Chadema, Kulungu Hemed Ramadhan.