Categories
Siasa

Video: Mbowe Alivyopokelewa Jimboni Kwake Hai

Categories
Siasa

Kampeni Za CCM: Magufuli Hajaonekana Iringa Alikopaswa Kuwepo Leo

Categories
Habari Maisha

Manyara Yaongoza Kwa Ukeketaji. Yafuatiwa Na Dodoma, Arusha, Mara Na Singida.

RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana  huku ripoti hiyo ikieleza kuwa wasichana wanaozaliwa au kulelewa na mama aliyekeketwa hukeketwa pia. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Redio ya C-FM ya Jijini hapa jana, Msimamizi […]

Categories
Siasa

Vituko Vya Uchaguzi: Mgombea Ubunge Kwa Tiketi ya NCCR Ahutubia Akiwa Kwenye “Jukwaa” La Mkokoteni Unaovutwa Na Punda

Categories
Siasa

Profesa Lipumba Akihutubia “Umati” Wa Wananchi Kyerwa 😊

Categories
Habari Siasa

Mahakama Yaahirisha Kesi Za Lissu Mpaka Baada Ya Uchaguzi

Categories
Michezo/Burudani

Tetesi Za Usajili Soka Barani Ulaya: Samatta Mbioni Kuhamia Uturuki

Tetesi za usajili kwa vilabu vya soka hapa Uingereza zinadai kuwa mwanasoka pekee wa Tanzania katika Ligi Kuu ya England, Mbwana Samatta, yupo mbioni kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo kutoka klabu yake ya sasa ya Aston Villa. Hata hivyo kumekuwa na mkanganyiko kuhusu hatma ya mwanasoka huyo ambaye uwezo wake wa […]

Categories
Siasa

Msajili Wa Vyama Vya Siasa: Vyama Vinavyotaka Kushirikiana Vimechelewa

Categories
Biashara

Macho Yote Kwa Membe Baada Ya ACT – Wazalendo Kutamka Itatangaza Mgombea Urais Inayemuunga Mkono (Ikimaanisha Si “Mgombea Wao” Membe)

Tamko hilo la Zitto ni kama kupigia mstari kauli hii ya Maalim Seif Sharif Hamad Macho na masikio sasa yaelekezwa kwa Bernard Membe, kada wa zamani wa CCM aliyefukuzwa na chama hicho tawala kisha akajiunga na ACT-Wazalendo, kabla ya kupitishwa kuwa mgombea wa chama hicho katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. […]

Categories
Siasa

Vituko Vya Uchaguzi: Mgombea Ubunge Bukombe Kwa Tiketi Ya ACT-Wazalendo Ajitoa, Adai Hana Sera, Pia Mpinzani Wake Wa CCM Ameongea Yote 😁