Categories
Habari

Sabaya Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 30, Kukata Rufaa

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha. Akitoa hukumu hiyo jana Oktoba 15, 2021 Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Arusha, Odira Amworo amesema ameridhika kuwa upande wa mashtaka umethibitisha mashtaka dhidi ya […]

Categories
Maoni

#NukuuZaMo: Usitafute Ugumu Pasipo Ugumu

Categories
Habari Siasa

Asilimia 60 ya Watanzania Wanataka #KatibaMpya

Wawili kati ya Watanzania watatu wanadhani kwamba ni wakati taifa hilo linafaa kuwa na katiba mpya, kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na Twaweza. Utafiti huo kwa jina ”Unfinished Business” unaangazia mkwamo wa mkakati wa katiba mpya kutokana na data ya sauti za wananchi. Matokeo hayo yanatokana na data iliokusanywa kutoka kwa raia 1,745 nchini […]

Categories
Habari

Barabara ya Njia Nane- Dar – Kibaha yakwama.

Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa uchumi wa Jiji la Dar es Salaam, mikoa jirani na Taifa kwa ujumla, Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara (Tanroads), Rogatus Mativila amesema wanashindwa kumalizia kujenga kipande cha kutoka Kimara hadi Kibaha na barabara za kuiunganisha barabara hiyo ya Morogoro na Kituo cha Mabasi cha Magufuli kutokana na ukosefu […]

Categories
Michezo/Burudani

Taifa Stars Yaibwaga Benin 1-0, Bao la Simon Mchuva Laipeleka Stars Kileleni Kundi J, Mama Samia Atoa Pongezi

Categories
Siasa

ACT-Wazalendo Washinda Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde, Mgombea Wao Mohammed Said Issa Azoa Asilimia 72%

Mohamed Said Issa wa ACT Wazalendo ameshinda Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo Amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za Mbarouk Amour Habib (CCM), 55 za Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) na 98 za Salama Khamis Omar (CUF)

Categories
Habari

Rais Samia Afanya Teuzi Tatu, Aliyekuwa Jaji Mkuu Zanzibar sasa Jaji Mahakama ya Rufani (Jaji Mkuu Ajaye?), Jaji Siyani wa Kesi Ya Mbowe awa Jaji Kiongozi, na Sofia Mjema Ateuliwa RC Shinyanga,

Categories
Habari

Makamu wa Rais Dkt Mpango Adai “Stigla” Inahujumiwa

Categories
Michezo/Burudani

Safari ya Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022: Taifa Stars Yafungwa 1-0 na Benin, Dar.

Categories
Maisha

Mtanzania Abdulrazak Gurnah Ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi