Categories
Habari

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad (@Hamad074759393) aongea na waandishi wa habari

Categories
Habari

Hotuba ya Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Kamishna Hamad Khamis Hamad katika uzinduzi wa jengo jipya la kituo cha polisi cha Mikokotoni, Kaskazini Unguja, Machi 25, 2022

Mh. Mkuu wa Mkoa Kaskazini UngujaMh. Mbunge wa Jimbo Mh. Mwakilishi wa Jimbo Kamishna wa Polisi ZanzibarKamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini UngujaWawakilishi wa vyombo vya ulinzi na UsalamaMaafisa Waandamizi Makao Makuu ya Polisi ZanzibarMaafisa, Wakaguzi na askari wa Mkoa wa Kaskazini UngujaMkandarasi Albatna Building Constructor L.TDMshauri Mwelekezi Samkay Consult CO L.T.DWaandishi wa habariMabibi na […]

Categories
Habari

“Zanzibar Ina Mashoga 3,600 na Makahaba 5,554,” – Waziri

UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum Mkuya, alisema jumla ya wanawake 5,554 wanauza miili […]

Categories
Habari Siasa

Wabunge Wa ACT-Wazalendo Waapishwa, Wasema Hawatokwenda Nje Ya Nchi Kulalamika Masuala Ya Tanzania

Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa juu wa ACT-Wazalendo […]

Categories
Habari Siasa

Balozi Wa Marekani Awapongeza Dkt Mwinyi Na Maalim Seif Kwa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar

Categories
Habari Siasa

Zanzibar: Dkt Mwinyi Asema Yupo Tayari Kushirikiana na ACT-Wazalendo

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha Serikali kama ambavyo Katiba ya Zanzibar inavyoelekeza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …(endelea). Ametoa kauli hiyo leo Jumanne tarehe 11 Novemba 2020 wakati akizindua Baraza la 10 la Wawakilishi Zanzibar. Dk. Mwinyi ambaye ni Rais wa nane wa Zanzibar, aliingia […]