Categories
Biashara Siasa

Maoni Ya Mdau “The Boss”: Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia

Hakuna kitu kinaamua siasa kama ‘wakati’.Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati. zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo. Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli…na uongozi wake kiujumla..Kubanwa Uhuru wa kuongeaKufokewa na kukaripiwaKutoa matamko Kwa ukali..Kuzungumza Peke yake..Kutokukosolewa ..Kukosekana Kwa mijadala na majadiliano..Na mengi yaliyoenda na hayo.. Ujio wa Samia umebadili siasa Kwa ujumla..Samia hafoki […]