Categories
Habari

Glasgow, Uskochi: Mama @SuluhuSamia Ahutubia Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Athari za Mabadiliko ya Tabianchi COP26 (Video)

Categories
Habari

Rais @SuluhuSamia Ndani Ya Uskochi, Ahutubia Mkutano Ulioitishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, Kesho Kuhutubia #COP26

Rais Samia pia ametoa wito kwa nchi zilizoendelea kushikamana na wadau wengine katika kukabiliana na changamoto za tabianchi. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehutubia moja ya mikutano maalumu uliotishwa na mawaziri wakuu wa Uingereza na Italia pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 26), unaofanyika […]

Categories
Michezo/Burudani

Uskochi Yafuzu Euro 2020 Baada Ya Kuibwaga Serbia, Haijafuzu Michuano Mikubwa Kwa Miaka 22

Uskochi imefuzu kushiriki mashindano ya nchi za Ulaya (Euro 2020) baada ya kuibwaga Serbia. Hii ni mara ya kwanza katika miaka 22 kwa Uskochi kufuzu katika mashindano makubwa, mara ya mwisho ikiwa mwaka 1998. Ryan Christie aliipatia Uskochi bao katika kipindi cha pili kabla ya mshambuliaji wa Real Madrid, Luka Jovic kuisawazishia Serbia katika dakika […]