Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya Blackpool ya Uingereza atangaza kuwa ni shoga

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya mpira wa miguu ya Blackpool ametangaza kuwa yeye ni shoga. Hatua hiyo ya mwanasoka huyo wa timu hiyo inayokipiga kwenye ligi ya daraja la pili, ni ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 30, ambapo mwanasoka wa zamani hapa Uingereza John Fashanu. Daniels amesema kuwa amepata sapoti ya kutosha […]

Categories
Habari

“Zanzibar Ina Mashoga 3,600 na Makahaba 5,554,” – Waziri

UNGUJA imetejwa kuwa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao pamoja na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ikilinganishwa na Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Salum Mkuya, alisema jumla ya wanawake 5,554 wanauza miili […]

Categories
Habari Maisha

Kanisa Katoliki Latangaza Kuunga Mkono Ushoga

Katika hatua inayoweza kuzua mtafaruku mkubwa, kiongozi mkuu wa Kanisa la Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis, kutamka kuwa ndoa za jinsia moja zilindwe na sheria. “Mashoga wana haki ya kuwa katika familia. Ni watoto wa Mungu na wana haki ya familia. Haipaswi kumtimua mtu au kumfanya ajisikie vibaya,” aliongea Baba Mtakatifu katika waraka wa video […]