Categories
Habari

Ofisi Za ATCL Nchini Komoro Zavunjwa Tena, Sh Milioni 400 Za Ki-Komoro Zaibwa. Ofisi Hazikuwa Na Ulinzi Wala Kamera Za Usalama

ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia sehemu ya kuhifadhia fedha imevunjwa inahisiwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa ATCL wamehusika katika wizi huo ambao hii ni mara […]

Categories
Habari

Polisi Wazima Pati Ya Ufuska Dar

Desemba 23, siku mbili kabla ya Sikukuu ya Krismasi, wanaume jijini hapa walialikwa katika sherehe ya kuburudika na wanawake wawatakao lakini Jeshi la Polisi limeifuta sherehe hiyo na kuwatia mbaroni waandaaji wake. Ni sherehe ya ufuska iliyopangwa kufanyika eneo la Mbezi Beach jijini hapa, ambayo mhudhuriaji alitakiwa kununua kadi itakayomuwezesha kuingia katika nyumba maalum na […]