Categories
Siasa

Urais Zanzibar: Tume Ya Uchaguzi Yatupilia Mbali Pingamizi Dhidi Ya Maalim Seif

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada ya kuwekewa mapingamizi 2 siku ya jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Hamid Mahmoud amesema kuwa rufaa iliyokatwa dhidi ya Maalim haina mashiko

Categories
Siasa

Urais Zanzibar: Maalim Seif Awekewa Pingamizi