Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia azidi kuupiga mwingi: Lissu alipwa madeni yake yote, alipwa kiinua mgongo pia

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiunua mgongo chake aliochukuwa akikidai baada ya kutumikia nafasi ya ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu. Wakati Lissu akisema amelipwa madeni hayo,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba amesema ni utendaji wa kawaida serikalini kulipa madeni ya wafanyakazi na viongozi hata […]

Categories
Habari Siasa

Video: Lissu Amtetea Ndugai

Categories
Habari Siasa

Lissu Afutiwa Kesi Zote za Uchochezi, Mwenyewe Atoa Masharti ya Kurudi Tanzania

Kwa mujibu wa kichwa cha habari cha gazeti la Mwananchi. Hata hivyo, habari hiyo “imepita kimyakimya” huko mtandaoni. Habari kamili (updated 08.12.2021 Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mahakama, wamefuta kesi zote za uchochezi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Mwananchi limebaini […]

Categories
Habari Siasa

Mbowe Amtetea Sabaya, Asema Ametolewa Kafara Na Mama Samia Huku Wahalifu Wengine Kama Waliotaka Kumuua Lissu Wakidunda Mtaani.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kumtoa kafara aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na kuwaacha wahalifu wengine ikiwemo waliompiga risasi Lissu wakidunda serikalini bila kukamatwa. Mbowe amesema kitendo cha Rais Samia kukataa kukutana na viongozi wa Chadema kwa miezi minne sasa ni cha kinyama […]

Categories
Habari

Tundu Lissu Yumo Kwenye Orodha Iliyotangazwa Serikali Ya Wanaostahili Kulipwa Malimbikizo

Categories
Habari Siasa

Tuzo Za BET 2021: Lissu Abainisha Hamuungi Mkono Diamond, Asema Msanii Huyo Hajawahi Kusimamia Kwenye Haki Au Kupinga Maovu Tanzania

Categories
Habari

Wakili Wa Lissu Afungua Kesi Dhidi Ya Magufuli Mahakama Ya Kimataifa Ya Uhalifu (ICC)

 

Categories
Habari

Wakili Wa Tundu Lissu Adai Ameahirisha Kufungua Kesi ICC Ili Kukusanya Ushahidi Zaidi

Categories
Habari Siasa

News Alert: Zitto, Lissu Kuunguruma Kesho

Categories
Habari

Tanzanian opposition leader Tundu Lissu flees country

Mr Lissu, who has been holed up in the German embassy for eight days citing threats to life, was escorted to the Julius Nyerere International Airport in a convoy of diplomatic vehicles. βœŒπŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ pic.twitter.com/8qOQf6nAk0 β€” Tundu Antiphas Lissu (@TunduALissu) November 10, 2020 He left in the afternoon aboard an Ethiopian Airlines plane, accompanied by a […]