Categories
Habari

Dear Mama Samia, Unahujumiwa Huko TRA

Bandiko la mdau huko Jamii Forums Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu linganisha na mwezi wowote katika mwaka wowote unaoutaka wewe. Achana na miaka ya JPM ambayo inasemwa kodi zilikusanywa kwa nguvu. Tumia mwezi […]

Categories
Biashara Habari

Mama Samia Aendelea Kusikia Vilio Vya Wananchi: TRA Yazifungulia Akaunti Zote Za Wafanyabiashara Zilizokuwa Zimeshikiliwa Kutokana Na Masuala Ya Kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF). Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano […]

Categories
Biashara

Mitano Tena: Msako Wa Faini Za Magari Balaa, Trafiki Kila Kona

Dar es Salaam. Kama umewahi kuandikiwa faini kwa kukiuka sheria za barabarani na hujalipa imekula kwako. Ndivyo hali ilivyo sasa kufuatia ukaguzi wa trafiki unaofanyika kila kona ya nchi, hadi katika gereji na maegesho ya magari. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani liko katika operesheni iliyotangazwa na Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Simon Sirro […]