Categories
Habari

Mamlaka ya Hali Ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa tahadhari ya mafuriko, mvua kubwa ikitarajiwa mikoa sita

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku mbili katika mikoa sita na kuleta athari katika mikoa hiyo. Mikoa inayotarajiwa kunyesha mvua hizo ni Iringa, Njombe, Lindi Mtwara, Ruvuma na Morogoro. Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 26, 2020 imesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha juu ya wastani kuanzia […]