Categories
Sayansi

Facebook, Mmiliki Wa WhatsApp, Yasitisha Sera Mpya Ya Faragha Iliyopelekea Mamilioni Kuikimbia WhatsApp

Mtandao wa kijamii wa Facebook, unaomiliki mtandao mwingine wa kijamii wa WhatsApp, umesitisha utekelezaji wa sera mpya ya faragha, ambayo ilipelekea mamilioni ya watumiaji wa WhatsApp kuachana na programu-tumizi hiyo. Sera hiyo mpya ya faragha ililenga kukusanya taarifa za watumiaji wa WhatsApp na kuipatia Facebook, ambayo ina rekodi isiyopendeza kuhusu utunzaji wa faragha za watumiaji […]

Categories
Habari

App ya TELEGRAM Inayosifika Kwa Kujali Usiri Wa Watumiaji Sasa Yawezesha Maongezi Kwa Video

App ya Telegram inayosifika kama moja ya apps salama zaidi kwa mawasiliano ya faragha kwa watumiaji, imezindua uwezo wa kupiga simu za video (video calls). Uzuri katika hatua hii ni kwamba maongezi kwa njia ya video yatafanyika huku yakilindwa na usimbaji fiche (encryption). Maana yake ni kwamba mawasiliano hayo yatakuwa salama na kukwepa mamlaka za […]