Categories
Habari Siasa

Mbowe kuhudhuria mkutano wa kituo cha demokrasia Tanzania (TDC) Machi 30 huko Dodoma, mgeni rasmi ni Mama @SuluhuSamia

Categories
Habari Siasa

Chadema wabadili msimamo, sasa watashiriki mkutano wa vyama Machi 30 huko Dodoma ambao mgeni rasmi ni Mama @SuluhuSamia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi vimethibitisha kuwa vitashiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya hoja tano walizokuwa wakizilalamikia kuanza kufanyiwa kazi, ikiwemo kuachiwa kwa Freeman Mbowe. Awali vyama hivyo vilisema havitoshiriki shughuli yoyote ya kisiasa ikiwemo zinazoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa madai ya hoja zao […]