Categories
Biashara

TANZIA: Tanzania Yapoteza Profesa Mwingine, Ni Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya Aliyefariki Leo Katika Hospitali Ya Muhimbili

Categories
Habari

Tanzia: Mtoto wa Nyerere Afariki Dar

Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imepata msiba wa mtoto wao Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wanafamilia aliyejitambulisha kwa jina la Sophia Nyerere ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa shangazi yake amefariki. Mwananchi limewatafuta baadhi ya wanafamilia akiwemo Manyerere Jacton aliyethibisha kuwa ndugu yao amefariki. “Ni kweli […]

Categories
Habari

Tanzia: Mwandishi Nguli Wa Riwaya Za Kishushushu John le Carré Afariki.

Galacha wa uandishi wa riwaya za kishushushu, John le Carré amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Mwandishi huyo Muingereza ambaye kifo chake kimetokana na homa ya mapafu (pneumonia) aling’ara kwenye fani ya uandishi riwaya za kishushushu kwa takriban miongo 6, huku kazi zake bora zaidi zikiwa ni pamoja na riwaya ya “The Spy […]